Kushoto ni Jimmy na kulia ni Israel na katikati ni baba yao - Jacob (Mawazo) |
Hapa ni dada yetu - Vannesa (Mbaji) akiandaa chakula siku tulipomtembelea mama kijijini Mkola |
Hapa ni mimi Mawazo nikiwa na mwanangu Israel tunaelekea kumuona baba yetu mzee Jimmy eneo la Gengeni Mkola |
Hapa ni wajukuu wa mzee Jimmy toka kwa watoto wake mbalimbali. Kushoto ni Mohamed, Jimmy (aliyechukua jina la baba Jimmy), mzee Jimmy mwenyewe, Wiliad mtoto wa marehemu Mwile na mwisho mama yetu |
Hapa nilitembelea eneo la wachimbaji wadogo katika mto Mkola. Hii ni katika kukumbushia enzi za kuchimba dhahabu |
Huyu ni dada yetu anaitwa Rehema (Mitemo) nae pia alikuwepo Mkola siku nilipomtembelea mama |
Huyu ni kaka yetu wa kwanza kwa upande mama Godfrey anaitwa Godfrey kwa upande wa mama yetu yaani mama Mwafyela. Hapa ni kituo cha TAZARA Mbeya City |
Hapa ni Mawazo katika kituo cha TAZARA wakati tukisubili treni la kwenda Ifakara kutokea Zambia |
Hawa ni mama zetu kwa Mzee Akimu. Kushoto ni mama Godfrey na kulia ni mama Mwavilenga - kwa sasa ni marehemu |
Hapa ni mtu na dada yake yaani kushoto ni mke wa Mawazo na kulia ni mke wa kaka Chapaulinge (Paul) |
Shemeji yetu mke wa kaka yetu Paul |
Kushoto ni mjomba wetu anaitwa Frank na kulia ni Mawazo |
Kulia ni mama Israel mke wa Mawazo akiwa na mama mkwe wake yaani mama Godfrey |
Hapa ni mtu na mama yake. Kushoto ni Mawazo na kulia ni mama yake - mama Godfrey |
Hapa ni kaka yetu kwa upande wa mama Mwavilenga anaitwa Steveni (Sibitali) |
Hawa ni watoto wa kaka yetu Paul katika picha ya pamoja. Kuanzia huu kushoto ni Angelina, Rose, Eva, Berry, Enea na Pausta. |
No comments:
Post a Comment